Mkurugenzi wa kampuni ya Tanzania Business Creations Company LMT (TBCC)
inayojishughulisha na ufundishaji wa utengenezaji wa Bidhaa na
Ujasiriamali Elibarick Mchau akitoa ufafanuzi wa jambo mbele ya wananchi wa mkoa wa Dodoma wanaoshiriki mafunzo hayo yanayofanyika
katika viwanja vya Mashujaa na yanatarajia kufungwa mwishoni mwa wiki
hii.
Sabuni za miche kama hizi ni moja ya Bidhaa zinazotengenezwa na
wajasiriamali hao katika mafunzo ya vitendo yanayoendelea katika viwanja
hivyo zikiwa katika moja ya mabokis yaliyotengezwa kwa mbao ambayo
yanatumika kezitengenezea.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Wajasiriamali toka maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma wakifuatilia kwa
makini mafunzo ya utengenezaji wa bidhaa mbalimbali, ufugaji na
usindikaji wa vyakula yanayoendelea katika viwanja vya mashujaa yaliyoandaliwa na (TBCC).
No comments:
Post a Comment