Kikosi Cha Skylight kutoka kushoto ni Winfrida, Sam Mapenzi na Sony Masamba wakianza kuamsha amsha ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Sam Mapenzi akiimba kwa Hisia kali wimbo wa “All on Me wa John Legend” ndani ya Thai Village.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Winfrida Richard akiimba kwa hisia kubwa ndani ya Thai Village Ijumaaa iliyopita.
Mpiga Gita mahiri wa Skylight Band Allen Kisso Mundele akizikung'uta nyuzi za gitaa hilo ipasavyoooooo.
Idrisa idrisaaa ma drummmm akicharanga vyombo kwa umahiri ili kuleta ladha mwanana kwenye muziki mzuri wa Skylight Band ndani ya Thai Village ijumaa iliyopita
Wanaume wa shoka kutoka kushoto ni Joniko flower, Sony Masamba na Sam Mapenziii wakiyarudi mauno ipasavyooo kuleta burudani kwa mashabiki wao ndani ya Thai Village.
Wewe weweee Jonikoooo akishika kichwa kwa muziki mzuri unatoka kwa wapiga vyombo wa Skylightband.
Masamba(katikati) wewe weweeeeeee acha kabisa usiguse moto wa vijana wa shoka hawa wa Skylight Band.
Jonikoo Jonikoooooo acha kabisaaa achaaaaa ,Masamba katikati akiyarudiiii masebeneee kwa raha ndani ya Thai Village ijumaa Iliyopita.
Aneth Kushaba acha kabisaaaa usicheze na moto huuuu,hapo akiyarudi mauno kwa umaridadi mkubwaaaa.
Kikukuuuu huyoooooo Ana manyoya huyoooooo Kwiooooo kwioooooo,hiyo ni staili mpya ya kikuku wakichezeshwa mashabiki wa Skylight Band.
Mikanda ya chuma chuma ehhhhhhhh chuma chumaaaaaa Joniko Flower akiwaimbisha mashabiki wake ndani ya Thai Village
Ana manyoyaaaaa huyoooo Kwioooooo kwioooooooo hahahhaaha usicheze na moto wa Skylight Band hapo ni Aneth kushaba(katikati)na vijana wake Joniko Flower kushoto na Sony Masamba
Wadau wa Skylight Band Dimo Debwe kushoto na Sillas Mbuya kati wakipata Ukodak.
Wnifrida na Donode Wakisaidiana kupiga zile Back Vocal ndani ya Thai Village
Donode akiyarudi mangomaa kuwapa raha mashabiki wake ndani ya Thai Village.
Diva mkali wa Skylight Band Winfrida akipagawisha mashabiki wakeee
Winfrida akiimmba na kucheza kuwapa raha mashabiki wake ndani ya Thai Village.
We Donode we Donode hapo akichukua MIC baada ya mzuka kumpanda ili apige Vocal kali.
Mashabiki wa Skylight Band wakiruka mangoma makali yanayoporomoshwa na Band ya kijanja Skylight Band.
Viuno nyorotiiiiiiiiiiiiiiiiii vya wapenzi wa Skylight band wakiserebukaaa kwa raha zao.
Sam Mapenzi akiimba kwa mzukaaaa kuwapagawisha mashabiki wake.
Viunooooo Viunoooooooo haya twendeeee Viunooooo Viunooooooooo.
Viunooooo Viunoooooooo haya twendeeee Viunooooo Viunooooooooo.
Masambaaa akipagawishaaaa kwa Vocal kaliiiiiiiii
Hapyyyyy Happyyyyyy Happyyyyyyyyyy mashabiki wakipagawishwa na mzuka wa wimbo wa happyyy
Hapyyyyy Happyyyyyy Happyyyyyyyyyy mashabiki wakipagawishwa na mzuka wa wimbo wa happy
Mdau wa Skylight akipata ukodak na swahiba wake kwa rahaaaaa zaooooooo.
Haya sasa Sugua suguaaaaaaaa mpaka moshiiii,,Joniko kwa mbaliiiii kushoto akiiimbisha mashabiki wake.
Haya sasa Sugua suguaaaaaaaa mpaka moshiiii,,Joniko kwa mbaliiiii kushoto akiiimbisha mashabiki wake.
Mguuuu pandeeee mguuuu sawaaaaa suguaaaa suguaaaaaaaa.
Mpiga Gita wa Skylight Band akionyesha umahiri wake wa kulicharaza gita hilooooo.
Nipe Tanoooooooooo we mdada mkali sanaaaaa unaimbaaaaa mpaka rahaaaaaaa,Shabiki akimpongeza Aneth Kushaba baada ya kuguswa na mzuka wa sautiiii.
Shabiki huyu alishindwa kujizuia na kupanda stejini kucheza kikukuuuuuu.
Shabiki akizidi kupagawa na ma vocal ya Aneth Kushaba rahaaaaa kweliiiiiiii.
Ally Remtulah akifurahia muziki mkaliiiiiii wa Skylight band.
Wazeee wa Jsb wakipata Ukoda kwa Rahaaaaaa zaooooooooooo
Vijana wa manyoyaaaaa wakiwa na Mkurugenzi wa Skylight Band Justine Ndege (katikati) wakipata Ukodak wa nguvuuuu.
No comments:
Post a Comment