Msanii mkubwa katika tasinia ya maigizo maarufu kama (Bongo movie) hapa nchini Tanzania, Salma Jabu kwa jina la usanii alimaarufu kama NISHA
atoboa siri ya
yeye kuwa juu haraka na kuwazidi wasanii wenzake wa kike kwenye soko
la bongo movie licha ya kusota sana
Alianza kwa kusema mafanikio hayo yamekuja kwa njia nyingi ya kwanza ni kujituma katika kazi, hapendi kupoteza muda bila
sababu; pili kuwa karibu na watu wa kazi yaani director ili kupata
mawazo mapya kutoka kwao na pia kuwa busy kutazama filamu mpya kila siku
na kingine kupata ushauri kwa watu wake wa karibu sana ni kipi kifanyike ili afike mbali.




No comments:
Post a Comment