HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MSANII WA BONGO MOVIE NISHA AULA, AWA BALOZI WA SOLAR POWER


Msanii mkubwa katika tasinia ya maigizo maarufu kama (Bongo movie)  hapa nchini Tanzania, Salma Jabu kwa jina la usanii maarufu kama NISHA aweka record kwa miaka miwili mfululizo ya kukimbiza mauzo ya filamu zake sokoni bila mpinzani. 
 Na sasa amekuwa kivutio katika kampuni mbalimbali hapa nchini  na kupewa kuwa balozi katika  kampuni ya umeme wa jua  yaani (Solar Sower.)
Msanii Nisha ameshafanya filamu nne ambazo zimetikisa na kuweza kumpa mafanikio hayo hadi sasa. Filamu hizo ni kama MACHO YANGU, TIKISA, PUSI NA PAKU, GUMZO, NA HII MPYA YA ZENA NA BETINA.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: