Wananchi wakielekea eneo la tukio kwa ajili ya kuuzima moto huo kabla kikosi cha zimamoto kufika
Changamoto kwa kikosi cha zimamoto mbeya mbali ya kuwahi eneo la tukio lakini mipira ya maji ni mibovu mipira hiyo ina matundu kibao
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Moja ya gari lililookolwea na wananchi |
Kikosi cha zimamoto kazini |
Samani mbalimbali zimeteketea kwa moto |
Madiwani wa kata ya manga kushoto Diwani viti maalumu Mary Malema na Daniel Mwakisyala wakiwa eneo la tukio |
Faraja Damasi akipatiwa matibabu katika kituo cha afya Mwanjelwa baada ya kupata mstuko na kuzirai Picha na Ezekiel Kamanga Mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment