Scott Eisner (kulia)vice President of African Affairs, US Chambers of Commerce akifungua sherehe ya uzinduzi wa kitabu cha wekeza Afrika 2014 iliyofanyika US Chambers of Commerce Washington, DC siku ya Jumatatu May 19, 2014 wengine katika meza ni Balozi wa kudumu wa African Union Mhe. Amina Salum Ali na Paul Duffen ambaye ni News Desk Media.
Sherehe ya uzinduzi wa kitabu cha wekeza Afrika 2014 ikiendelea.
Sherehe ya uzinduzi wa kitabu cha wekeza afrika 2014 ".invest in africa 2014" kitabu kinachotolewa na ubalozi wa umoja wa afrika ilifanyika Jumatatu May 19, 2014 kama kuanzia wiki ya kusherehekea siku ya afrika tarehe 27 mwezi mei .

Meza upande wa wawekezaji
Kulikuwa na majadiliano yaliyofanywa na viongozi wanao wakilisha Mabalozi wa kanda 5 za afrika zikiwemo East.West .South Central na North.viongozi hao walizungumzia rasilmali zilizopo Afrika na kuwaalika wawekezaji wawekeze afrika kwani kuna faida kubwa zinapatikana. Kwa upande wa serikali ya marekani ilihudhuriwa na mwakilishi wa msaidizi katibu wa ofisi ya mambo ya nje ya marekani na mgeni mwengine wa heshima ni muwakilishi wa umoja wa matIfa united nation global compact.kitabu kilichotoka mwaka huu pia kimeelezea mafanikio yaliyopatikana afrika na muelekeo katika miaka ijayo.

Meza waliokaa wawekezaji na wawakilishi wa Mabalozi na baadhi wa wahemimiwa Mbalozi
Meza waliokaa wawakilishi wa serikali ya Marekani
Mwakilishi wakiendelea na sherehe ya uzinduzi wa kitabu cha wekeza Afrika 2014.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula(kushoto) katika picha ya pamoja na Balozi wa kudumu wa African Union Mhe. Amina Salum Ali na Danille Walker ambaye ni Director of African Affairs, US Chambers of Commerce
Afisa Ubalozi Suleiman Salehe katika picha ya pamoja na Balozi wa Ivory Cost nchini Marekani Mhe. Daouda Diabate
picha ya pamoja waheshimiwa Mabalozi, Maafisa na wawakilishi wa Mabalozi
No comments:
Post a Comment