HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » BREAKING NEWS: AJALI YATOKEA ENEO LA MAKONGO SEKONDARI IKIHUSISHA MAGARI MAWILI YA ABIRIA JIJINI DAR

Gari aina ya Toyota Coaster  inayofanya safari zake kati ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam imepata ajali mbaya leo mchana baada ya kugongana na daladala ya Kawe  na Ubungo na kusababisha vifo vya watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 14 katika eneo la Makongo Sekondari  jijini Dar.
  Maiti bado zipo eneo la tukio, habari zaidi zitakujia hivi punde.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: