HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » RAIS KIKWETE KATIKA SWALA YA IDDI DAR ES SALAAAM

 Baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wakiswali sala ya Iddi El Fitr katika masjid Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu muda mfupi baada ya kuswali sala ya Iddi El Fitr katika mshikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi.


ENDELEA  KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI


 "...Eid Mubarak....Eid Mubarak..."
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mlemavu mara baada ya kumalizika kwa swala ya Iddi katika masjid Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: