Miss Maria Shilla aliyetwaa taji la Redd's Miss Kinondoni akiwapungia mkono mashabiki wake kwenye ukumbi wa Escape 1.
Redd's Miss Kinondoni, Maria Shilla (katikati), akiwa na furaha baada ya kutangazwa mshindi. Kulia ni mshindi pili, Camilla Cindy John na mshindi tatu, Queen Latifa Hashim. (Picha na Francis Dande)
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Warembo wakijibu maswali.
Muandaaji wa shindano hilo, Innocent Melleck akizungumza wakati wa fainali ya shindano la Miss Kinondoni.
Majaji.
Redd's Miss Kinondoni, Maria Shilla akipita kwa madaa jukwaani.
Mmoja wa wadhamini wa shindano hilo Mroki Mroki akizungumza wakati wa shindano hilo.
Majaji wakijadiliana jambo.
Redd's Miss Kinondoni, Maria Shilla akiwa na warembo wenzake.
Malaika Band.
Wanamuziki wa Malaika Band wakionesha manjonjo yao.
Baadhi ya majaji.
Hashim Lundenga akiwa katika pozi.
Wanamuziki wa Malaika Band wakitumbuiza wakati wa shindano la kumtafuta Miss Kinondoni.
Muandaaji wa shindano hilo, Innocent Melleck akizungumza wakati wa fainali ya shindano la Miss Kinondoni.
Majaji.
Redd's Miss Kinondoni, Maria Shilla akipita kwa madaa jukwaani.
Mmoja wa wadhamini wa shindano hilo Mroki Mroki akizungumza wakati wa shindano hilo.
Majaji wakijadiliana jambo.
Redd's Miss Kinondoni, Maria Shilla akiwa na warembo wenzake.
Wanamuziki wa Malaika Band wakionesha manjonjo yao.
Hashim Lundenga akiwa katika pozi.
No comments:
Post a Comment