Bi Ester Nathannaeli akimvisha pete ya ndoa kama ishara ya kujifunga kwake Mumewe Mpendwa Dickson Mwachilengwa huku Askofu Mathayo Timo wa F. P. C. T aliyeifungisha ndoa hiyo iliyofungiwa katika kanisa hilo lililopo chamwino Dodoma akishuhudia.PICHA NA JOHN BANDA
Bwana na Bibi Dickson wakichukua Chakula kwenye tafrija ya kuwapongeza baada ya kufunga Ndoa hivi karibuni katika kanisa la F. P. C. T chamwino, Tafrija hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Chang'ombe Extation Dodoma.
Omary Peter Chondo akifungishwa Ndoa na Mzee Othuman Salum ambaye ni Baba mzazi wa Mkewe Bi. Mariam nyumbani kwake Bahi Road Dodoma huku Ustaadh Juma mwenye kanzu akushuhudia
Bwana Omary Peter Chondo na Mkewe Mariam Salumu wakiwa katika pozi la picha nyumbani kwa Bibi harusi huyo Bahi Road Dodoma muda mfupi baada ya kufungishwa ndoa juzi.
No comments:
Post a Comment