HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » PICHA: NDEGE NYINGINE YAANGUKA NA KUUWA WATU 40 IRAN

Ndege inayomilikiwa na kampuni ya Taban Air imeripotiwa kuanguka katika makaazi ya watu Jumapili (Agosti 10) baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa Mehrabad Maghribi mwa mji wa Tehran. TV ya taifa ya Iran imesema watu wote 40 wamepoteza maisha katika ajali hiyo na uchunguzi umeanza kufanywa ili kubaini chanzo.
Ndege hiyo iliyojulikana kwa jina la Iran 141 ilitengezwa nchini Iran kupitia teknologia ya Ukraine. Iran imekabiliwa na ajali kama hizo katika siku za hivi karibuni kutokana na ndege zake zilizozeeka mbali na marekebisho mabaya inazozifanyia
Source: BBC

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: