HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » PICHA: UCHAFU WAKITHIRI SOKO LA SAMAKI KIVUKONI DAR

 Wazoa taka wakiwa kazini katika soko hilo.
WATUMIAJI wa soko la samaki la Kivukoni jijini Dar es Salaam wameulalamikia uongozi wa soko hilo kwa kukithiri kwa uchafu kila sehemu ikiwa ni pamoja  na harufu kali iliyozagaa hapo.
 Gari la kubebea uchafu likijaribu kupunguza taka katika baadhi ya sehemu za soko.

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI


 Mmoja wa wafanyabiashara wa samaki akionyesha samaki anaowauza.
 Samaki wakiwa  kwenye sehemu ya kuwatunzia.
 Mmoja wa wachuuzi akiwa na mfuko wenye dagaa.
 Baadhi ya biashara nyingine zinazofanywa katika eneo hilo.
 Masanduku ya kutunzia samaki.
 Moja ya mandhari za soko hilo.
Wavuvi na wafanyabiashara wakiwa katika shughuli zao.

PICHA NA GPL

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: