FILAMU MPYA YA JB IITWAYO “MIKONO SALAMA” SASA KUTOKA TAREHE 25/09/2014

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Tarehe 25.09.2014 Filamu kali na yenye kusisimua "MIKONO SALAMA" Itaingia kwenye Soko la Filamu za kitanzania na kuanza kuuzwa.Sio Filamu ya kukosa kabisa kwani Humo ndani kuna waigizaji mashuhuri na Magwiji ambao wameshirikia na Mastar kutoka pande zingine.Jokate Mwegelo maarufu kama Kidoti ameshiriki ndani ya Filamu hii akiwa na 
Gwiji Jacob Steven(JB),pia kuna kipande ambacho amecheza Marehemu Adamu Kuambiana humu ndani,pia Kuna wasanii wengine kama Irene Uwoya na Single Ntambalike. Kaa Tayari kuona Filamu nzuri na yakitanzania

No comments

Powered by Blogger.