HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » HAYA NI MAMBO KUMI YA KUZINGATIA UNAPOONANA NA MPENZI/RAFIKI ULIYEKUWA UNAWASILIANA NAE TU KWENYE SIMU

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.




USISEME MANENO HAYA
  1. Unaonekana tofauti na picha uliyonitumia/kuona
  2. Nimesahau pochi/wallet yangu! (na hutakiwi kusahau)
  3. Mpenzi wangu wa zamani alikuwa anapenda sana kuja hapa!
  4. Unavutia sana, Tunaweza kuwa wapenzi (endapo sio mpenzi wako)
WAKATI WA KUAGANA, ZINGATIA HAYA MANENO
  1. Ilikuwa siku nzuri sana kuonana na wewe!
  2. Asante kwa kukubali wito wangu, safari salama!
  3. Ningependa tuendelee kuongea ila Kwa kweli nahitaji kuondoka!
  4. Asante kwa kuifanya siku yangu iwe njema
  5. Nimefurahi sana kufahamiana na wewe!
  6. Sikuwahi kujua kama unauwezo fulani (taja ulichogundua kwake) siku njema
NA KUMI MUHIMU

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: