Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Meneja Masoko wa kampuni ya Simu za mikononi ya Airtel Anthony Msanga
akitoa hutuba kwenye mahafali ya sita ya wanafunzi wa kidato cha nne
katika shule ya sekondari ya Viwandani, walioka kulia ni Mkuu wa shule
hiyo Zainab Rajab na Mwenyekiti wa Bodi ya shule Oliver Masangia.
Mkuu wa Shule ya Viwandani Sekondari manispaa ya Dodoma Zainab Rajab
akisoma taarifa ya shule hiyo kwenye mahafari ya 6 ya kidato cha Nne
yalihusisha wahitimu 115.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Mgeni Rasmi kwenye Mahafari ya 6 ya kidato cha Nne ya Shule ya Viwandani
Sekondari Meneja Masoko wa Airtel Kanda ya kati Anthony Msanga akitoa
cheti kwa mmoja wa wahitimu wakati wa mahafali hayo.
Mhitimu wa Kidato cha Nne katika shule ya Viwandani Sekondari Annastazia
Bukola akionyesha kipaji cha kuimba na kucheza Muziki wa Kizazi kipya
huku wahitimu wenzake wakimshangilia, ambapo aliibuka na zawadi ya Mordem ya Airtel yenye kifurushi chake ili aweze kuingiza
nyimbo zake kwenye mtanadao ya kijamii ili kipaji chake kiweze
kujitangaza mapema.
Wahitimu wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari ya Viwandani manisapaa ya Dodoma wakiwa katika mahafari hayo.
Walimu wa shule ya Sekondari ya viwandani wakijaribu kumthibiti mmoaja
wa vijana waliofika katika sherehe za mahafari ya kidato cha Nnne
aliyefika na wenzake na kisha kuanzisha Fujo kwa kupiga watu hovyo kwa
mawe hali iliyosababisha Mwalimu wa Shule hiyo, Mwanafunzi na Mwandishi
wa habari wa kituo cha Rasi Fm aliyekuwa kwenye majukumu.
No comments:
Post a Comment