Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Wachezaji wa Simba wakishangilia bao lililofungwa na
Emmanuel Okwi (katikati) wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa. (Picha na Francis Dande)

Okwi akiwa amembeba Ramadhani Singao 'messi' baada ya kuifungia timu yake bao la kuongoza.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akishangilia bao
aliloifungia timu yake wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi
ya Polisi ya Morogoro uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaa. Kushoto ni 'Ramadhani Singano Messi'

Golikipa wa Polisi Morogoro, Abdul Ibad akijaribu kuokoa bila
mafanikio kiki iliyopigwa na mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi wakati wa
mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam.

jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Francis Dande)

Okwi akiipangua ngome ya Polisi Moro.

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Polisi
Morogoro, Lulanga Mapunda wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara
uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe akiwa katikati ya
wachezaji wa Polisi Morogoro, Lulanga
Mapunda (kushoto) na golikipa wa timu hiyo, Abdul Ibad wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania
Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Kipa wa Polisi Moro, Abdul Ibad akipata matibabu baada ya kuumia.
Kikosi cha Polisi Morogoro.
Kikosi cha Simba.
No comments:
Post a Comment