HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MPITA NJIA AJERUHIWA KWA RISASI NA MAJAMBAZI WALIOVAMIA NA KUPORA KATIKA DUKA LA PESA MOROCCO JIJINI DAR

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Bodaboda walivamia kiduka cha M-PESA, tiGO PESA na Airtel Money na wakati wanaondoka wakawa wanapiga risasi ikampata huyu dada alikuwa anapitia barabarani hajui hili wala lile. Dada huyu risasi ilimpalaza upande wa kulia. Walimshoot baada ya kuonekana anaongea na simu, baada ya tukio la kumuibia dada mwingine, ambaye inasemekana alikuwa ametokea Mlimani City na Hela.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: