HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » PICHA: YALIYOJIRI KWENYE MECHI KATI YA SIMBA NA MTIBWA KATIKA UFUNGUZI WA KOMBE LA MAPINDUZI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Kikosi cha Simba kilichokubali kipigo cha Bao moja kwa mara ya pili mchezo wa mwazo na Mtibwa. Picha na Othman Maulid wa Zanzinews Blog
Kikosi cha  timu ya Mtibwa Sugar kilichotoka kifua mbele dhidi ya Simba kwenye ufunguzi wa ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi.


ENDELEA KUSTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

Wachezaji wa timu ya Simba wakipasha moto misuli kabla ya kusalimiana na Mgeni rasmi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakati wa ufunguzi wa michuano hiyo ilioaza jana Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Wachezaji wa timu ya Mtibwa Sigar wakipasha moto misuli kabla ya kusalimiana na Mgeni rasmi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakati wa ufunguzi wa michuano hiyo ilioaza jana Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akisalimiana na kamisaa wa mchezo huo Musin Kamara, wakati wa uzinduzi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi yaliozinduliwa na Balozi Seif, katika uwanja wa Amaan.    
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,  Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Wachezaji wa timu ya Simba.
Makamu wa Pili wa Rais wac Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Wachezaji wa timu ya Mtibwa Sigar.
Wachezaji wa timu ya Simba wakisalimiana na Wachezaji wa timu ya Mtibwa Sugar





«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: