Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Washiriki wa shindano la kumsaka Miss Universe wakiwa jukwaani katika shindano lililofanyika jumapili January 25'2015, Miami nchini Marekani ambapo Miss Universe Colombia, Paulina Vega ( 22 ) alivikwa taji.


Washiriki waliofanikiwa kuingia tano bora katika shindano la kumsaka Miss Universe.

Kutoka kushoto kwenda kulia ni Miss Australia Tegan Martin, Miss Uholanzi Yasmin Verheijen, Miss Brazil Melissa Gurgel, Miss Ukraine Diana Harkush na Miss Jamaica, Kaci Fennell.
No comments:
Post a Comment