Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Balozi wa Umoja wa Afrika (AU) nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali, akipata picha ya pamoja na Bw. Erastus Mwencha, Naibu Katibu Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, baada ya mapokezi kwa ziara yake maalum, siku ya Jumatano Feb 25, 2015 ndani ya Washington Dulles International Airport.( Picha na swahilivilla.blogspot.com)
Balozi wa Umoja wa Afrika (AU) nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali. akuwa na Bw. Erastus Mwencha, pamoja na Shamis Alkhatry baada ya mapokezi.
Balozi wa Umoja wa Afrika (AU) nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali, Balozi wa Umoja wa Afrika (AU) nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali. akuwa na Bw. Erastus Mwencha, pamoja na Cheif wa swahilivilla blog Abou Shatry, siku ya Jumatano Feb 25, 2015 ndani ya Washington Dulles International Airport
No comments:
Post a Comment