Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Miss Universe Tanzania 2014-2015 Nale Boniface akitoa zawadi kwa mmoja wa wanafunzi wenye matatizo ya Ngozi (ALBINO) wakati alipotembelea kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji cha Salvation Army jijini Dar es Salaam ikiwa ni madhimisho ya siku yake ya kuzaliwa
Miss Universe Tanzania 2014-2015 Nale Boniface akikata keki na wanafunzi wenye matatizo ya Ngozi (ALBINO) wakati alipotembelea kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji cha Salvation Army jijini Dar es Salaam ikiwa ni madhimisho ya siku yake ya kuzaliwa ambapo aliamua kuwapelekea zawadi watoto hao.
Miss Universe Tanzania 2014-2015 Nale Boniface akiwalisha Keki na wanafunzi wenye matatizo ya Ngozi (ALBINO) wakati alipotembelea kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji cha Salvation Army jijini Dar es Salaam ikiwa ni madhimisho ya siku yake ya kuzaliwa ambapo aliamua kuwapelekea zawadi watoto hao.
Sehemu ya wanafunzi wenye matatizo ya Ngozi (ALBINO) katika kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji cha Salvation Army jijini Dar es Salaam
Miss Universe Tanzania 2014-2015 Nale Boniface akigawa madaftari kwa wanafunzi wenye mahitaji wakati alipotembelea kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji cha Salvation Army jijini Dar es Salaam ikiwa ni madhimisho ya siku yake ya kuzaliwa ambapo aliamua kuwapelekea zawadi watoto hao.
No comments:
Post a Comment