HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » ALIYEKUWA MBUNGE WA CHADEMA MH. ZITTO KABWE AJIUNGA RASMI NA CHAMA CHA ACT.

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Mh. Zitto Kabwe akijaza fomu ya uanachama wa ACT.
Mh. Zitto Kabwe akikabidhiwa rasmi kadi ya uanachama wa ACT.
Yote yaliyosemwa kuhusu Zitto yametimia rasmi baada ya Zitto kupewa kadi ya uachama wa ACT kama mwenyekiti mtarajiwa wa ACT
Hata hivyo, kwa mujibu wa viongozi waandamizi wa ACT-Tanzania wamedokeza kuwa, Zitto ataongea na vyombo vya habari leo siku ya Jumapili ya Machi 22.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: