HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » BREAKING NEWS: AFANDE SELE AJIUNGA RASMI CHAMA CHA ACT PIA SOMA HAPA ORODHA YA WANACHAMA WAPYA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Selemani Msindi "Afande Selle" akizungumza na waandishi wa habari wakati akitangaza kuungana na Mh. Zitto Kabwe kujiunga na chama ACT-Tanzania kutokea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Kulia ni Katibu Mkuu wa Chama ACT-Tanzania, Samson Mwigamba na kushoto ni rafiki wa Afande Selle ambaye nae amejiunga na Chama hicho, Adam Shanzy.(Picha na Othman Michuzi)
Katibu Mkuu wa Chama ACT-Tanzania,Samson Mwigamba akimkabishi kadi ya uwanachama,Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Selemani Msindi "Afande Selle" ambaye amejiunga na chama hicho akitokea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

Mwanamiziki wa muziki wa kizazi kipya, Suleiman Msindi (Afande Sele) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mh. Zitto Kabwe pamoja na wanachama wa chama hicho

Hii ndio orodha ya waliojiunga na Chama cha ACT-Tanzania leo.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: