Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Zitto Kabwe akinzungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutambulishwa kwake kujiunga na Chama cha ACT-Tanzania,katika mkutano uliofanyika mapema leo kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Serena,Jijini Dar es salaam.(Picha na Othman Michuzi)
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI






No comments:
Post a Comment