HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » BREAKING NEWS: POLISI WATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUWATAWANYA WAOMBOLEZAJI WALIOJIKUSANYA KUPINGA POLISI KUWAPIGA WANANCHI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu


Kwa habari zilizotufikia hivi punde kutoka Mkoani mwanza zinasema kuwa, Polisi jijini Mwanza wanatumia mabomu ya machozi kuwatawanya waombolezaji waliojikusanya mjini misungwi kupinga Polisi kumpiga Magata Salum aliyefariki leo.
Hali hiyo inafuatia pale ambapo watu hao walipokuwa wamejikusanya kwa kile walichodai kuwa ni kupeleka mwili wa Magata kituo cha polisi wakidai amekufa kwa kupigwa na polisi, ambapo Jeshi la polisi mkoani humo lilisema uchunguzi unaendelea. 
Endelea kufuatitilia kwa habari zaidi

Chanzo: ITV Tanzania

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: