HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » KIKAO CHA KAMATI CHAWASILISHA HESABU ZA SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


  2Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Zitto Kabwe akiongoza kikao cha kamati hiyo jijini Dar es Salaam wakati wa uwasilishi wa hesabu za Shirika la Umeme la Tanzania (Tanesco) lilipowasilisha, kulia ni Mbunge wa Tabora Mjini Ismail Aden Rage.
4
Mwenyekiti wa Bodi ya Tanesco, Dk. Mighanda Manyihi akijitambulisha kwa wajumbe kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) katika kikao cha kuwasilisha hesabu za shirika hilo kilichofanyika jijini Dar es Salaam, kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco Mhandisi Felchesmi Mramba.

5
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco Mhandisi Felchesmi Mramba, akijitambulisha kwa wajumbe kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) katika kikao cha kuwasilisha hesabu za shirika hilo kilichofanyika jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Tanesco, Dk. Mighanda Manyihi.
1
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco Mhandisi. Felchesmi Mramba, akiwasilisha ripoti ya hesabu za shirika hilo kwa wajumbe kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) katika kikao cha kilichofanyika jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Tanesco, Dk. Mighanda Manyihi.
8 9
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kutoka Sudani Kusini wakifuatilia utendaji kazi wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kwa upande wa Tanzania, katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, ambapo Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco)liliwasilisha ripoti ya hesabu zake.
( Picha na Lorietha Laurence-Maelezo)

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: