Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
.jpg)
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akimtambulisha Mansour Yussuf Himid kwa wanachama wa CUF wa Kiembesamaki na kuwaomba wamuunge Mkono leo Unguja
.jpg)
Aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki (CCM) Mansour Yussuf Himid, akizungumza katika mkutano wa hadhara wa CUF uliofanyika jimboni humo.
.jpg)
Wafuasi na wapenzi wa CUF wakifuatilia mkutano huo wa kumtambulisha Mansour.
.jpg)
Wafuasi na wapenzi wa CUF wakifuatilia mkutano huo wa kumtambulisha Mansour



No comments:
Post a Comment