Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Mwana miereka mmoja wa Mexico alifariki baada ya kupigwa ngumi
katika shingo ndani ya ukumbi wa miereka.Pedro Aguayo Ramirez mwenye umri wa
miaka 35 anayejulikana kama Hijo del Perro Aguayo alianguka na kupoteza fahamu
katika kamba ndani ya ukumbi wa miereka baada ya kupigwa teke na mpinzani wake
Oscar Gutierrez anayejulikana kama Rey Mysterio junior,kulingana na kanda ya
video ya pigano hilo ilillofanyika katika ukumbi wa manispaa ya Tijuan.
Pigano hilo
liliendelea kwa dakika mbili kabla ya mashabiki na refa kugundua kuwa Aguayo
alikuwa amepata jereha baya na hivyobasi kuanza kumshughulikia.
''Alipelekwa
katia hopsitali jirani na kufariki'',alisema Raul Gutierez wa afisi ya mashtaka
ya Baja mjini California.
BOFYA HAPA CHINI KUTIZAMA VIDEO HIYO
''Sina
la kusema kufuatia kisa hiki cha kushangaza'',Joaquin Roldan ,ambaye ni
mkurugenzi wa shirikisho la miereka la AAA alisema katika mtando wa twitter.
''Rambirambi
natizituma kwa familia ya Aguayo'



No comments:
Post a Comment