HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » UPDATES: FRANCIS CHEKA AACHIWA HURU SASA KUTUMIKIA KIFUNGO CHA NJE

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.



Bondia maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka aliyehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. milioni moja kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake amebadilishiwa adhabu ya kifungo.
Cheka amechiwa na kutoka gerezani na sasa anatakiwa kutumikia kifungo cha nje.
Cheka alihukumiwa na Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya baada ya kumkuta na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini aitwaye Bahati Kabanda ‘Masika’.
CHANZO: GPL

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: