HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » WATU 19 WAJERUHIWA JIJINI NEW YORK BAADA YA MLIPUKO KUTOKEA KWENYE MAJENGO

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

 Karibu watu 19 wamejeruhiwa baada ya kutokea mlipuko uliosababisha majengo mawili kuanguka katika Jiji la New York. Hadi jana mchana majira ya Marekani zaidi ya zimamoto 200 walikuwa wakipambana na moto wa mlipuko huo, ambao uliathiri majengo manne.
 Vikosi vya zimamoto vikipambana na moto 

ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

  Meya wa Jiji la New York, Bill de Blasio amesema hakuna ripoti ya mtu aliyepotea, hata hivyo amekiri hali ni tete. Maafisa wa Jiji hilo wanaamini kulikuwa na kazi ikiendelea katika majengo hayo yenye mfumo wa gesi kabla ya kulipuka.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: