Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mtoto
wa Hayati baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Andrew Nyerere, akiteta jambo na
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na kuvaa kofia ya Chama cha
ACT-Wazalendo wakati viongozi wa chama hicho walipofanya ziara kijijini
Mwitongo Wilayani Butiama. (Picha na Said Powa)
Mtoto wa Hayati baba wa Taifa
Mwalimu Julius Nyerere, Andrew Nyerere, akimkabidhi kofia ya CCM, Kiongozi wa
Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na kuvaa kofia ya Chama cha ACT-Wazalendo
wakati viongozi wa chama hicho walipofanya ziara kijijini Mwitongo Wilayani
Butiama.
No comments:
Post a Comment