Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mvua kubwa iliyonyesha mjini Unguja, Zanzibar jana imeleta usumbufu mkubwa baada ya ameneo mengi kujaa maji.
Magari yakipita kwa tabu kwenye barabara iliyojaa maji kufuatia mvua kubwa iliyonyesha mjini Unguja.



No comments:
Post a Comment