Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Bondia wa Marekani Floyd Mayweather akizichapa na bondia kutoka Ufilipino Manny Pacquiao uliopigwa leo asubuhi kwa muda wa Afrika ya Mashariki kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa MGM Grand Garden Arena, jijini Las Vegas, Marekani.

Umati mkubwa wa raia wa mji wa Manila nchini Ufilipino wakiendelea kuangalia pambano kwenye luninga ambazo zilikuwa kwenye mita mbalimbali ya mji huo

Mvua haikuzuia watu kuendelea kutazana pambano hilo





No comments:
Post a Comment