Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (katikati) akionyesha kabrasha lenye fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kushoto ni Katibu wa Halmashauri Kuu Taifa (Nec) ya CCM wa Idara ya Oganizesheni, Dk. Mohamed Seif Khatibu. Kulia ni mkewe Waziri Chikawe, Profesa Amandina Lihamba. Tukio hilo la uchukuaji wa fomu lilifanya katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo. Picha zote na Felix Mwagara.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe akisaini kitabu kabla ya kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tukio hilo la uchukuaji wa fomu lilifanya katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini, Dodoma leo. Picha na Felix Mwagara.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias
Chikawe akiwaonyesha wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na waandishi wa
habari (hawapo pichani) kabrasha lenye fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM kabla ya kuanza kuzungumza na
kujibu maswali mbalimbali ya waandishi wa habari. Kulia ni mkewe Waziri
Chikawe, Profesa Amandina Lihamba. Tukio hilo la uchukuaji wa fomu lilifanya
katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo. Picha na Felix Mwagara.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni
Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe akizungumza na wanachama wa Chama
Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na waandishi wa habari mara baada ya kuchukua fomu ya
kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM.
Waziri Chikawe ambaye alijibu maswali ya waandishi wa habari kiufasaha huku
akishangiliwa na wanachama hao, alisema yeye ni kiongozi mwenye uzoefu mkubwa
na pia akiteuliwa na chama chake kugombea nafasi hiyo ataendeleza mapambana zaidi
dhidi ya maadui watatu ambao ni ujinga, maradhi na umaskini pamoja na adui mwingine rushwa ambaye ni adui wa maendeleo. Picha na Felix Mwagara.
.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias
Chikawe akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na
waandishi wa habari mara baada ya kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea
urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Waziri Chikawe ambaye
alijibu maswali ya waandishi wa habari kiufasaha huku akishangiliwa na
wanachama hao, alisema yeye ni kiongozi mwenye uzoefu mkubwa na pia akiteuliwa
na chama chake kugombea nafasi hiyo ataendeleza mapambana zaidi dhidi ya maadui
watatu ambao ni ujinga, maradhi na umaskini pamoja na adui mwingine rushwa
ambaye ni adui wa maendeleo. Kulia ni mkewe, Profesa Amandina Lihamba. Picha na Felix Mwagara.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias
Chikawe akishangiliwa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mara baada ya
kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kupitia CCM, Waziri Chikawe ambaye alijibu
maswali ya waandishi wa habari kiufasaha huku akishangiliwa na wanachama hao,
alisema yeye ni kiongozi mwenye uzoefu mkubwa na pia akiteuliwa na chama chake
kugombea nafasi hiyo ataendeleza mapambana zaidi dhidi ya maadui watatu ambao
ni ujinga, maradhi na umaskini pamoja na adui mwingine rushwa ambaye ni adui wa
maendeleo. Picha na Felix Mwagara.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias
Chikawe (kulia aliyekaa) akiongoza zoezi la uhakiki wa kadi za wanachama wa
Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokuja kumdhamini kugombea kuteuliwa urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, katika ofisi ya Katibu wa CCM, Wilaya
ya Dodoma mjini. Waziri Chikawe wakati akiwa anajibu maswali ya waandishi wa habari, alisema yeye
ni kiongozi mwenye uzoefu mkubwa na pia akiteuliwa na chama chake kugombea
nafasi hiyo ataendeleza mapambana zaidi dhidi ya maadui watatu ambao ni ujinga,
maradhi na umaskini pamoja na adui mwingine rushwa ambaye ni adui wa maendeleo.
Picha zote na Felix Mwagara.
No comments:
Post a Comment