HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA UTEUZI WA CCM KUGOMBEA URAIS

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


1 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitia saini kitabu baada ya kuwasili kuwasili kwenye Ofisi Kuu ya CCM mjini Dodoma kuchukuwa fomu za kuwania uteuzi wa CCM ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao . Kulia ni Mkewe Tunu na kushoto ni Katibu wa Nec CCM, Mohammed Seif Khatib.
3
Waziri Mkuu , Mizengo Pinda akiwa ameshika fomu ya kuwania uteuzi wa CCM ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao kwenye ofisi kuu ya CCM mjini Dodoma Juni 12, 2015. Kulia ni Mkewe Tunu na kushoto ni Katibu wa Nec CCM, Mohammed Seif Khatib.
10
Waziri Mkuu , Mizengo Pinda akizungmza na waandishi wa habari na wananchi waliofika kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya taifa ya CCM mjini Dodoma kushuhudia wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipochukuwa fomu ya kuwania uteuzi wa CCM ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao kwenye ofisi kuu ya CCM mjini Dodoma Juni 12, 2015.
4
Baadhi ya waandishi wa habari na wananchi waliofika kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya taifa ya CCM mjini Dodoma kushuhudia wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipochukuwa fomu ya kuwania uteuzi wa CCM ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao kwenye ofisi kuu ya CCM mjini Dodoma Juni 12, 2015. (Picha na Ofisi Waziri Mkuu)

mail.google.com
5 6  11
Baadhi ya wazee wa Dodoma waliofika kwenye ukumbi wa Halmashauri kuu ya taifa ya CCM kumsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza baada ya kuchukuwa fomu ya kuwania uteuzi wa CCM ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao kwenye ofisi kuu ya CCM mjini Dodoma Juni 12.
22
                                  Waziri Mkuu , Mizengo Pinda akisalimiana na wananchi.
mail.google.com1

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: