Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mshambuliaji wa KMKM ya Zanzibar, Mateo Simon, akimiliki
mpira huku akizongwa na beki wa Gor Mahia ya Kenya katika mchezo wa Kombe la
Kagame uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Gor Mahi
ilishinda 3-1. (Picha na Francis Dande). Beki wa Gor Mahia, Karim Nizigiyimana akimtoka Juma Mbwana Faki.
Mshambuliaji wa KMKM ya Zanzibar, Juma Mbwana Faki akimtoka kipa wa Gor Mahia ya Kenya, Boniface Oluoch.Mchezaji wa KMKM, Pandu Haji Pandu akimtoka beki wa Gor Mahia ya Kenya, Mussa Mohamed. Pandu Haji Pandu akimtoka Erick Ochieng Mshambuliaji wa KMKM, Mateso saimo akimtoka Michael Olunga.Mshambuliaji wa KMKM, Mateso saimo akimtoka Michael Olunga.Wachezaji wa Gor Mahia ya Kenya wakiomba dua pamoja na wachezaji wa KMKM ya Zanzibar baada ya kumalizika kwa mchezo.
No comments:
Post a Comment