Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli
akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga
na CCM,jioni hii katika viwanja vya mji mdogo wa Muganza,wilayni Chato
Mkoani Geita,Mh Magufuli amezoa wanachama wapya waliorudisha kadi zao
wapatao zaidi ya 150.

wapatao zaidi ya 150.Mh Magufuli yuko jimboni kwake Wilayani Chato
kuwaaga na kuwashukuru Wananchi wake kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza kwa
miaka 20 akiwa Mbunge.
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli
akiwapungia mkono pia na kuwashukuru Wananchi wake kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza kwa
miaka 20 akiwa Mbunge wao.
MKe wa Mgombea Urais wa CCM,Mama Janeth Magufuli akiwasalimia na
kuwashukuru Wananchi wa mji huo kwa mapokezi mazuri na makubwa
waliyoyapata wilayani humo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara),Ndugu Rajab Luhwavi akiwasalimia
wanachama wa CCM pamoja na Wananchi waliofika kumlaki Dkt Magufuli jioni
ya leo katika viwanja vya mji mdogo wa Muganza wilayani Chato mkoa wa Geita.
Baadhi ya
Wananchi wa mji mdogo wa Muganza,Wilayani Chato na vitongoji vyake
waliokuwa wamekusanyika kwenye viwanja vya mji mdogo wa Muganza jioni ya
leo
wakishangilia kwa furaha kubwa mara baada ya Mbunge wao na Mgombea
Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli kujitambulisha
kwao na pia kuwashukuru kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza kwa miaka 20 ya Ubunge ndani ya jimbo hilo.
Baadhi ya
Wananchi wa mji mdogo wa Muganza,Wilayani Chato na vitongoji vyake
wakimsikiliza Dkt Magufuli alipokuwa akiwasalimia na kuwashukuru katika viwanja vya mji mdogo wa Muganza jioni ya
leo.
Baadhi ya Wananchi wa mji mdogo wa Muganza,Wilayani Chato na vitongoji
vyake waliokuwa wamekusanyika kwenye viwanja vya mji mdogo wa Muganza
jioni ya leo
wakishangilia kwa furaha kubwa mara baada ya Mbunge wao na Mgombea
Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli kujitambulisha
kwao.
No comments:
Post a Comment