HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MAKENE AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM na Mwanasheria wa siku nyingi, Emmanuel Tamila Makene (kulia) akipokea fomu za kugombea kuteuliwa kugombea kuteuliwa kuwania Ubunge Jimbo la Kinondoni katika uchaguzi Mkuu utakao fanyika Oktoba 25 Mwakahuu nchini kote. Makene ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya ya Kinondoni amechukua fomu hiyo leo, Ofisi za Chama Kinondoni Mkwajuni Dar es Salaam.
Makene akisaini kitabu kabla ya kuchukua fomu hiyo leo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Kinondoni.

 Makene akisikiliza maelezo kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni juu ya kanuni za kufuata kama muonesha nia.
Makene akionesha fomu ya kuwania nafasi ya kuteuliwa kugombea Ubunge jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya CCM. 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: