HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA BAGAMOYO ACHUKUA FOMU WENGI WAMPONGEZA WADAU SAIDIA TUTANI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Katibu Msaidizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Bagamoyo, Salum Mtelela (kulia), akimkabidhi stakabadhi ya malipo ya kuchukua fomu, Mgombea huyo.
 Katibu wa CCM Wilaya ya Bagamoyo, Kombo Kamote (kushoto), akimkabidhi fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Bagamoyo, Mathew Juma Salum Yungwe wilayani humo leo mchana. Wa pili kulia ni Mama mzazi wa mgombea, Mary Yungwe na Meneja wa Kampeni wa mgombea huyo, James Mbuligwe.
 Hapa mgombea huyo Mathew Yungwe, akionesha fomu hiyo baada ya kukabidhiwa.
 Makada wa CCM wakimpongeza Mgombea huyo wakati wa kuchukua fomu hiyo.
 Mgombea nafasi hiyo ya Ubungo Jimbo la Bagamoyo, Mathew Yungwe (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na mama yake Mary Yungwe (kulia) na Meneja wa Kampeni wake, James Mbuligwe.
Hapa mgombea huyo na mama yake na meneja kampeni wake wakiondoka ofisi ya CCM Wilaya ya Bagamoyo baada ya kukabidhiwa fomu yake. (Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com)

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: