Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Akitoa taarifa hiyo hivi punde, Naibu Katibu Mkuu wa Cuf Tanzania Bara, Mh Magdalena Sakaya amesema kutokuwepo katika mkutano wa jana wa Ukawa uliokuwa na lengo la kumpata mgombea Urais wa umoja huo, ni kutokana na kuwa na kikao chao ili kuweka mambo sawa nasio kwamba wamejitoa katika umoja huo.
Kumekuwa na tetesi za muungano huo kusambaratika kufuatia mvutano wa nani anafaa kupitishwa kuwa mgombea Urais wa umoja huo kati ya Katibu mkuu wa Chadema, Mh Wilbroad Slaa au Mwenyekiti wa Cuf, Profesa Lipumba.
No comments:
Post a Comment