Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu
Ofisa Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya akimuonesha Mwananchi aliyetembelea banda la MSD nembo ya MSD iliyowekwa katika makasha na vifungashiyo vya dawa.
Mtaalamu wa Maabara kutoka Bohari ya Dawa (MSD), Twahiri Magoolo (kushoto), akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la MSD katika kongamano la 29 la wanasayansi wa utafiti wa magonjwa ya binadamu Dar es Salaam jana. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Utafiti Magonjwa ya Binadamu (NIMR).
No comments:
Post a Comment