Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhxv-2RTdgQIXaaAirkbsDmgty8f49I1dCvEhZjcqNdnom6hO3NbL0FHq36uK8IDD3vu8fymGNbeyjXWcXejcYgdplcaJdh9fKtM4oXiUZmssqIbXp2PxGcTfeC660aPwBT8SAg4JbXxI6k/s640/_MG_5886.jpg)
Mgombea
Urais wa CCM Dkt Magufuli akimpongeza mmoja wa wakazi wa Ukonga mara
baada kughani shairi lililokuwa likimsifia kuwa ana sifa zote za kuwa
Rais wa Tanzania,kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika mapema leo
asubuhi kwenye uwanja wa mpira wa Moshi Bara,Ukonga jijini Dar
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhDKcRviaNn6mQmvQZ0RagdkElOep7oSMboMx2FODgPMzBUi8ADFl2gX-KIzvrdVKQVcJrP2uurF6HhfR6RJoN1okAv3CTgEKTw1WtqmIA8XHrK6nageLbM46AEbkf5Le8UfCPgCuFJxGtY/s640/_MG_5891.jpg)
Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akimpongeza mmoja wa wakazi wa Ukonga
mara baada kughani shairi lililokuwa likimsifia kuwa ana sifa zote za
kuwa Rais wa Tanzania,kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika mapema leo
asubuhi kwenye uwanja wa mpira wa Moshi Bara,Ukonga jijini Dar
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgmsCD2TVCEARbCULdEmzIdbFZ_T-S5VJinXcgyib_H82EGP7-iL5M2ak58KwBG0s4o9S8Gl8izIcCHZvzN4NfDGyJEgFuiCAhUSpd_dvqY5lJ6VxvfR0Xg2SMlULQWlNhLptr8Q-cVcdmk/s640/_MG_5942.jpg)
Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wakazi wa jimbo la
Ukonga mapema leo mchana kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa mpira wa Moshi Bara,Dkt
Magufuli amemaliza mkutano wake wa kampeni jimbo la Kisarawe,Ukonga na
baadae anatarajia kuhutubia mkutano wa Kampeni Pemba na Unguja.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiVvVklPrYwX-mnNPKW13EI9Br-3zpYET57QwjFYu-ynj0fFs5lOG4q__YA2URd88faNOznFEHry7f7Y3A0nu0ODPLjIKKlga5dDFBW6zbH0phtorPdIxS82VtNKKX8mJsOePSBIhbRtqOm/s640/_MG_5950.jpg)
Wakazi wa Ukonga wakishangilia kwenye mkutano huo wa kampeni.
Mgombea
Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wakazi wa jimbo la Ukonga mapema
leo mchana kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa mpira
wa Moshi Bara,Dkt
Magufuli amemaliza mkutano wake wa kampeni jimbo la Kisarawe,Ukonga na
baadae anatarajia kuhutubia mkutano wa Kampeni Pemba na Unguja.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgB8zrBpygmOLbmix3dCXBlWl9XRxlug-3ygpmXPfz1UFtZTLWLSyd5c9-EdHd1iJ_nDXvLI0QLNIeCFqqodNqJFMXPfFV44SSUgEB96I2APAYrCDEWAUYLsG9F3B0miGFx0azLPgMnWJzk/s640/_MG_5960.jpg)
Wakazi wa Ukonga wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Dkt John Pombe uliofanyika leo mchana kwenye uwanja wa mpira moshi bar.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiEzQ3fxqeRbnsFSAfZkvzPzwjZUXzXCkkEO-2w6JTvcR53kedUthBtOy-NP2sWPwlxZtRAY2OEwejC9Yn0cX1Yap4if4QeKMi8DnRIW_ca5xOxMjGm7Gfv2Xv2kC65oqfaY6qPKxGQ5DWt/s640/_MG_5971.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjLjev3J544bZu0XGnwlfeK9ghtl9ai1YdH75KDyba0Ep2ysZDn_EdKKkFKt94ul_WhaVpO7p_P2Un6C6PtdnhoHHiwsyNnMzw723ce5a6c2fvBeWaRFv4BwqB3iR2rjuwx9GFy0Cq6Xo9U/s640/_MG_5779.jpg)
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimwombea kura mgombea Ubunge
jimbo la Kisarawe Selemen Jaff mapema leo asubuhi kwenye mkutano wa
kampeni
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgbXWoja0mF5WmWLFNwI3nLMWrrHtIy6UL1AQDjZIZ3uHFTJMy3sE79li-jh2SvxWs6mEBE8lQqlaYS_VHYR9Aq0lOkuXHJ70XLotn5zhkQW3FCNF8wriR0ezOJIzEQMwRB92rWgpK1RIs3/s640/_MG_5790.jpg)
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimwombea kura mgombea
Ubunge jimbo la Kisarawe Selemen Jaff mapema leo asubuhi mbele ye Wakazi wa mji huo kwenye mkutano
wa kampeni
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjhDlQYHzvRkVkOmxEu81S4GX883yJKupZEtsgKD7R9uYyQMZIT_cwhyphenhyphenEbPmPexUbeo_W4gsuGQRZrB5hHoP8NTLXuk3zHq97K65Gedv30uvhHwGMOIdMiXQGnm7k9AzfvFTb0oHvFv4tZZ/s640/_MG_5813.jpg)
Mgombea
Urais wa CCM John Pombe Magufuli akionesha picha yake aliyokabidhiwa
kama zawadi na mkazi wa Kisarawe mapema leo asubuhi kwenye mkutano wa
kampeni.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjU4_-R8kzly4ka3raMDwsbjk3x5kuzvSP5XI0N4YoT7aoWD1IC3j2PcW2SY9KcH9klwxy9_FDFKJ5IOXGwUDWGt3YVFylWSrb7g5GJBxvjsJhRqH6P_G-ntdGXr2o5ATKsL9-qRvTDHH63/s640/_MG_5835.jpg)
Mgombea
Urais wa CCM Dkt Magufuli akihutubia wakazi wa Ukonga mara baada ya
kumsimamisha wakitaka awasalimie na wamweleze shida zao ili atakapokuwa
Rais aweze kuwasaidia,Dkt Magufuli alikuwa akitokea Kisarawe kwenye
mkutano wake wa kampeni.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjS-qBWYDHII0470B3eRtsKVTu3EklgW6-BURCh9i6lHD7Z1ARiECqJ4Qx2a4XHQ3Pjwj7T-lQ55Fg-ZJGWcCREKQmlW-WqUI5gF8ZXHa2ZIyeQNCObZLJvqd0QaDaNfFwMgL-67aFFKrTG/s640/_MG_5845.jpg)
Katika hali isiyo ya kawaida vijana walijitokeza kuanza kufuta barabara ya vumbi ili Mgombea Urais Dkt Mafuguli aweze kupita.PICHA NA MICHUZI JR-DAR
No comments:
Post a Comment