Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Waziri huyo aliyekuwa pia Mbunge wa Handeni kwa zaidi ya miongo miwili

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Waziri huyo aliyekuwa pia Mbunge wa Handeni kwa zaidi ya miongo miwili

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji dada wa marehemu Dkt. Asha Kigoda nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Waziri huyo aliyekuwa pia Mbunge wa Handeni kwa zaidi ya miongo miwili

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiifarifi familia nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Waziri huyo aliyekuwa pia Mbunge wa Handeni kwa zaidi ya miongo miwili

Sehemu ya waombolezaji kwenye msiba huo

Spika Anne Makinda msibani hapo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine wa serikali na wa kidini nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 akiongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Waziri huyo aliyekuwa pia Mbunge wa Handeni kwa zaidi ya miongo miwili

Bw. Saidi Yakub akiendeshe shughuli hiyo

Sehemu ya waombolezaji

Sehemu ya waombolezaji

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw.Uledi Mussa akisoma wasifu wa marehemu

Waombolezaji

Sehemu ya waombolezaji

Brigedia Jenerali Mstaafu Ngwilizi akiongea machache kuhusu marehemu

Rais Kikwete akipeana mikono na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar, Salumu Mwalimu, ambaye aliwakilisha UKAWA kwenye mazishi hayo

Ndg. Muhammad Seif Khatibu akisoma rambirambi za CCM

Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Mathias Chikawe akitoa rambirambi za serikali
Waombolezaji knamama msibani hapo

Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally (mwenye kipaza sauti mkononi) akiongoza swala ya maiti

Rais Kikwete akiwa anaongozana na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman akitoa pole kwa waombolezaji

Watumishi wa Bunge wakibeba jeneza lililo na mwili wa marehemu kuelekea kaburini
Mazishi

Mtoto wa marehemu akiweka udongo kaburini

Rais Kikwete akiweka udongo kaburini

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman akiwa na Balozi wa Tanzania nchini India Mhe. John Kijazi kwenye mazishi hayo.
PICHA ZOTE NA IKULU






No comments:
Post a Comment