HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MANISPAA YA ILALA WASHIRIKIANA NA FORUMCC KUANZISHA MFUKO WA MAZINGIRA NA MABADILIKO YA TABIANCHI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mtaalamu wa Misitu na Mazingira, Kahana Lukumbuzi ambaye alikuwa na jukumu la kutengezeza andiko la uanzishwaji wa mfuko huo, akitoa ufafanuzi wa baadhi ya vipengele vilivyomo kwenye andiko hilo
Manispaa ya Ilala kwa kushirikiana na ForumCC wako katika hatua za mwisho za uanzishaji wa Mfuko wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi ukiwa na lengo la kukusanya pesa za kukabiliana na changamoto za mazingira na mabadiliko ya tabianchi katika eneo hilo
Mkuu wa Idara ya Usafi na Mazingira Manispaa ya Ilala, Abdon Mapunda anasema baada ya kukamilisha zoezi la ukusanyaji wa maoni ya wadau wa mazingira, mfuko huo utaanza mara moja kabla ya mwaka 2015 kumalizika
Wakati Manispaa ya Ilala ikiwa na jukumu la kusimamia uanzishwaji na uendeshaji wa mfuko huo, ForumCC wao wanajukumu la kutoa msaada wa kitaalamu ili kuhakikisha kuwa mfuko huo unafanikiwa na kufikia lengo lililokusudiwa
Wadau wa mazingira wakifuatilia mkutano huo
Sehemu ya mapendekezo ya namna Mfuko wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi utakavyokuwa
Wadau wa mazingira wakifuatilia mkutano huo
Wadau wa mazingira wakifuatilia mkutano huo
Picha zote na Tabianchi

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: