HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » WENGI WAJIUNGA NA NSSF KATIKA MAONESHO YA WAJASIRIAMALI YA JUA KALI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Afisa Mwandamizi Matekelezo wa NSSF, Theopista Muheta (kushoto) akitoa maelezo kuhusu viwanja vya vinavyouzwa na NSSF vilivyopo Kiluvya A Kisarawe wakati wa maonesho ya 16 ya wajasiriamali wa Sekta isiyo rasmi Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. (Na Mpigapicha Wetu) 
 Afisa Mwandamizi Matekelezo wa NSSF, Theopista Muheta (kushoto) akitoa maelezo kuhusu viwanja vya vinavyouzwa na NSSF vilivyopo Kiluvya A Kisarawe wakati wa maonesho ya 16 ya wajasiriamali wa Sekta isiyo rasmi Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. 
 Watu mbalimbali wakipata vipeperushi vinavyoelezea miradi mbalimbali inayosimamiwa na NSSF.

 Afisa Masoko na Uhusiano wa NSSF, Aisha Sango (kulia) akimuelekeza mjasiriamali, Abdulnuru Mbeo namna ya kujaza fomu ya kujiunga na uanachama wa hiari wa NSSF wakati wa maonesho ya 16 ya wajasiriamali wa Sekta isiyo rasmi Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Afisa Masoko na Uhusiano wa NSSF, Aisha Sango (kulia) akiwaelekeza namna ya kujaza fomu ya kujiunga na NSSF wanachama wapya waliojiunga na mfuko huo wakati wa maonesho ya 16 ya wajasiriamali wa Sekta isiyo rasmi Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. 
Afisa Masoko na Uhusiano wa NSSF, Aisha Sango (wa pili kushoto) akiwaelekeza namna ya kujaza fomu ya kujiunga na NSSF mjasiriamali, Abdulnuru Mbeo wakati wa maonesho ya 16 ya wajasiriamali wa Sekta isiyo rasmi Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kulia ni  Afisa Matekelezo Sekta wa NSSF, Edwin Kafanabo. 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: