Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
 |
| Mkurugenzi wa kituo cha mafunzo cha Furahini kilichopo Kisangara wilayani Mwanga,Isack Msuya akimuongoza Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation iliyoanzishwa na mfanyabiashara Mohamed Dewji,Francesca Tettamanzi kutembelea eneo kilipojengwa kituo hicho. |
 |
Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation, Francesca Tettamanzi akiwa ameambata na wafanyakazo wa kampuni ya METL walipotembelea kituo cha mafunzo cha Furahini cha wilayani Mwanga.
|
 |
| Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akitembelea majengo hayo yaliyojengwa kwa msaada wa Modewji Foundation. |
 |
| Majengo ya Madarasa katika kituo cha elimu cha Furahini cha wilayani Mwanga yaliyojengwa kwa msaada wa Kampuni ya Mohamed Enterprises . |
 |
| Afisa Udhibiti wa Ubora wa elimu ya msingi wilaya ya Mwanga ,Richard Joachim akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa kituo cha mafunzo cha vijana cha Furahini klichopo Kisangara wilayani Mwanga. |
 |
| Baadhi ya wanafunzi wanaosoma katika kituo hicho. |
 |
| Mwanafunzi Maureen Festo akisoma risala mbele ya mgeni rasmi ,Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi (hayupo pichani). |
 |
| Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akifuatilia risala iliyokuwa ikisomwa na wanafunzi wakati wa uzinduzi wa kituo hicho. |
 |
| Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akipena mikono na wanafunzi mara baada ya kumaliza kusoma risala. |
 |
| Mkurugenzi wa Kituo cha Mafunzo cha Furahini kilichopo Kisangara wilayani Mwanga,Isack Msuya akizungumza wakati wa usinduzi wa kituo hicho. |
 |
| Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi aliyekuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kituo cha Furahini Youth Learning Center akizungumza katika uzinduzi huo. |
 |
| Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akifungua mfano wa hundi kwa ajili ya kukabidhi kwa mkurugenzi wa kituo hicho. |
 |
| Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akizungumza jambo mara baada ya kukabidhi kibao kinachoonesha msaada uliotolewa kwa kituo hicho cha ujenzi wa madarasa ya kituo . |
 |
| Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akimkabidhi mkurugenzi wa kituo cha Mafunzo cha Furahini ,Isack Msuya mfano wa hundi ya kiasi cha sh Mil 7.7. |
 |
| Mchungaji Kajuna akitoa neno wakati wa uzinduzi wa kituo hicho. |
 |
| Wawakilishi wa METL wakiwa katika picha ya pamoja na walimu wa kito hicho pamoja na wanafunzi . |
 |
Wakiwa katika picha ya pamoja.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
No comments:
Post a Comment