HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MASHINDANO YA MAKAMPUNI YALIYOANDALIWA NA KAMPUNI YA POPULAR SPORTS AND ENTERTAINMENT TANZANIA LTD UWANJA WA DUCE CHANGOMBE JIJINI DAR ES SALAAM YAFANA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Mchezaji Frank Peter wa Banc ABC (kulia), akijitahidi kumtoka  Kambili John wa Ramada katika mashindano ya makampuni yaliyofanyika Uwanja wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Ualimu Dar es Salaam (DUCE), Chang'ombe jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Mashindano hayo yaliandaliwa na Kampuni ya Popular Sports and Entertainment Tanzania Ltd.
 Hapa ni kazi tu uwanjani.
 Kikosi kamili cha Timu ya Ramada.
 Kikosi cha Ramada kikiomba dua.

 Kikosi cha Banc ABC
 Kikosi cha Uhai FC
 Kikosi cha AAR
 Mtanange ukiendelea.
 Hapa mchezaji wa Banc ABC, Nicholaus Mwakijega akiwatoka wachezaji wa Ramada. Kushoto Omari Juma na kulia ni Abdul.
 Ramada wakitoka uwanjani kifua mbele baada ya kuwashinda Banc ABC bao 1-0
Hapa kiatu kiatu uwanjani.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: