Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
akifafanua jambo mbele ya wanahabari (hawapo pichani) mara baada ya
kukutana na kufanya mazungumzo kwenye Ikulu Ndogo ya Arusha jijini
Arusha leo Machi 1, 2016 mara tu baada ya Kiongozi huyo wa Uganda
kuwasili jijini humo kuhudhuria Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa
nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.Pichani kulia ni Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni.
Rais
wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni akiongea na wanahabari mara baada
ya kukutana na kufanya mazungumzo kwenye Ikulu Ndogo ya Arusha jijini
Arusha leo Machi 1, 2016 mara tu baada ya Kiongozi huyo wa Uganda
kuwasili jijini humo kuhudhuria Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa
nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.Pichani shoto ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisikiliza kwa makini
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni wakifanya mazungumzo kwenye
Ikulu Ndogo ya Arusha jijini Arusha leo Machi 1, 2016 mara tu baada ya
Kiongozi huyo wa Uganda kuwasili jijini humo kuhudhuria Mkutano wa 17 wa
Kawaida wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
No comments:
Post a Comment