Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na wabunge wa Mkoa wa Singida wakati akiwahutubia
wakazi wa Misigiri Mkoani Singida wakati akiwa njiani kuelekea Mkoani Tabora.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwasalimia
wakazi wa Misigiri Mkoani Singida.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wakazi wa Igunga mkoani Tabora mara baada
ya kuwahutubia Wilayani hapo
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mamia ya wakazi
wa Igunga mkoani Tabora katika ziara yake ya kikazi katika Mkoa huo wa Tabora.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa
Kijiji cha Nanga Wilaya ya Igunga Ndugu
Masesa Kishiwa Makala kutoka
Chadema wakati akiwa safarini kuelekea Nzega Mkoani Tabora.
(PICHA NA IKULU)
(PICHA NA IKULU)








No comments:
Post a Comment