Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Ustaadh Ibrahim akianza kwa dua kwenye sherehe ya Eid ilizoandaliwa ma Jumuiya ya Kiislam DMV (TAMCO) na kuakaribisha Watanzania wote wakiwemo marafiki zao kwenye sherehe zilizofanyika siku ya Jumatano July 6, 2016 Slver Spring, Maryland nchini Marekani. Picha na Vijimambo na Kwanza Production
Ustaadh Hajji Khamis kutoka New York akitoa mawaidha ya Eid kwenye sherehe ya Eid ilizoandaliwa ma Jumuiya ya Kiislam DMV (TAMCO) na kuakaribisha Watanzania wote wakiwemo marafiki zao kwenye sherehe zilizofanyika siku ya Jumatano July 6, 2016 Slver Spring, Maryland nchini Marekani.
Miss Tanzania USA Aeesha Kamara akijumuika na Watanzania wenzake kwenye sherehe ya Eid ilizoandaliwa ma Jumuiya ya Kiislam DMV (TAMCO) na kuakaribisha Watanzania wote wakiwemo marafiki zao kwenye sherehe zilizofanyika siku ya Jumatano July 6, 2016 Slver Spring, Maryland nchini Marekani.
Watanzania na marafiki zao kutoka majimbo mengine wakijumuika pamoja kwenye sherehe za Eid ilizoandaliwa ma Jumuiya ya Kiislam DMV (TAMCO) na kuakaribisha Watanzania wote wakiwemo marafiki zao kwenye sherehe zilizofanyika siku ya Jumatano July 6, 2016 Slver Spring, Maryland nchini Marekani.



No comments:
Post a Comment